Wachezaji watano wa Premier League Thibaut Courtois, Diego Costa, Angel Di Maria, Eden hazard na Yaya Toure wametajwa kwenye orodha ya wachezaji wanaowania tunzo ya mchezaji bora wa Dunia (FIFA Ballon d'Or 2014).
Orodha kamili ya wachezaji 23 hao na nchi wanazotoka kwenye mabano ni; Gareth Bale (Wales), Karim Benzema (Ufaransa),Diego Costa (Hispania), Thibaut Courtois (Ubelgiji), Cristiano Ronaldo (Ureno), Angel Di Maria (Argentina), Mario Goetze (Ujerumani),Eden Hazard (Ubelgiji),Zlatan Ibarahimovic (Sweden),Andres Iniesta (Hispania),Toni Kroos (Ujerumani),Philip Lahm (Ujerumani), Javier Mascherano (Argentina), Lionel Messi (Argentina), Thomas Mueller (Ujerumani), Manuel Neuer (Ujerumani), Neymar (Brazil), Paul Pogba (Ufaransa), Sergio Ramos (Hispania), Arjen Robben (Uholanzi), James Rodriguez (Colombia), Bastian Schweinsteiger (Ujerumani), Yaya Toure (Ivory Coast).
Pia katika orodha hiyo FIFA imayaanika hadharani majina ya makocha wanaowania tunzo ya ukocha bora kwa msimu huu ambao inawajumuisha makocha wafuatao;
Carlo Ancelotti (Italy/Real Madrid CF), Antonio Conte (Italy/Juventus FC/Timu ya taifa ya Italia), Pep Guardiola (Spain/FC Bayern Munich), Juergen Klinsmann (Germany/ timu ya taifa ya Marekani), Joachim Loew (Germany/timu ya taifa ya Ujerumani), Jose Mourinho (Portugal/Chelsea FC), Manuel Pellegrini (Chile/Manchester City FC), Alejandro Sabella (Argentina/ Timu ya taifa ya Argentina ), Diego Simeone (Argentina/Atlético Madrid), Louis van Gaal (Netherlands/Timu ya taifa ya Uholanzi)/Manchester United FC).
Washindi wa tuzo hizi wanatarajiwa kutangazwa mnamo 12 January 2015
No comments:
Post a Comment