Kamanda
Suleiman Koa alitembelea ITV kuzungumzia wimbi la ujambazi na jinsi
ambavyo jeshi la Polisi linavyopambana kuhakikisha linatokomeza uhalifu
katika jamii.
Aidha kamanda Kova amesema kuanzia sasa, endapo kampuni itamtuma mfanyakazi wake kusafirisha fedha nyingi bila kusindikizwa na Polisi, boss aliyemtuma naye pia atalazimika kujibu tuhuma kwa uzembe wa kutochukua tahadhari na hivyo kuhatarisha maisha ya yule aliyetumwa, hili wewe unalionaje?

No comments:
Post a Comment