Waziri wa Fedha, Saada Mkuya
Salum, ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi huo uliofanyika ukumbi
wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam leo asubuhi akihutubia.
Mwakilishi wa Benki ya Dunia, Philippe Dongier,
akihutubia katika hafla hiyo.
Ofisa kutoka Shirika la Maendeleo la DPG, Sinikka Antila,
akitoa hutuba fupi kwa wageni waalikwa.
Meneja wa Mazingira na
Uchambuzi wa Takwimu, Ofisi ya Taifa ya Takwimu (TBS), Sango Abas Simba,
akitoa ufafanuzi wa masuala kadhaa kuhusu chapisho hilo.
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya
Salum (wa pili kushoto), akionesha kitabu cha Ripoti ya Utafiti wa
Mapato na Matumizi ya Kaya Binafsi wa Mwaka 2011/12 wakati akikizindua
katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam leo.
Wanaoshuhudia kutoka kulia ni Ofisa kutoka Shirika la Maendeleo la DPG,
Sinikka Antila, Mwakilishi wa Benki ya Dunia, Philippe Dongier na
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Beno Ndulu.
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa
ya Takwimu (Dk. Albina Chuwa (kushoto), akiteta jambo na Gavana wa
Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Beno Ndulu wakati wa uzinduzi wa chapisho
hilo.
Wadau wa masuala ya takwimu wakiwa kwenye hafla hiyo.
Maofisa wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu wakiwa
kwenye uzinduzi huo.
Wanafunzi wa Chuo cha Takwimu nao walijumuika kwenye uzinduzi wa chapisho hilo.
Wanafunzi wa Chuo cha Takwimu.
Viongozi meza kuu wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa chuo cha Takwimu.
No comments:
Post a Comment