Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akizungumza na
Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Huduma kwa Jamii ambaye pia ni Jaji
Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Shaaban Lila, wakati Jaji huyo
alimpomtembelea Waziri Chikawe ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo,
kujadiliana masuala mbalimbali ya Adhabu Mbadala wa Kifungo. Picha zote
na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (katikati) akizungumza na
Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Huduma kwa Jamii ambaye pia ni Jaji
Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Shaaban Lila (kulia), wakati Jaji
huyo alimpomtembelea Waziri Chikawe ofisini kwake jijini Dar es Salaam
leo, kujadiliana masuala mbalimbali ya Adhabu Mbadala wa Kifungo.
Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa Jamii, Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Fidelis Mboya.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Taifa ya Huduma kwa Jamii ambaye pia ni Jaji Kiongozi wa
Mahakama Kuu ya Tanzania, Shaaban Lila (kulia) akimfafanulia jambo
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe wakati Jaji huyo
alimpomtembelea Waziri Chikawe ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo,
kujadiliana masuala mbalimbali ya Adhabu Mbadala wa Kifungo. Picha zote
na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
No comments:
Post a Comment