APIGWA RISASI BAADA YA KUFANYA JARIBIO LA KUTOROKA MAHAKAMA YA KISUTU LEO
Muonekano wa mahabusu aliyekuwa anatuhumiwa kubeba madawa ya kulevya, Abdul Koroma raia wa Sierra Leone baada ya kupigwa risasi.
Koroma akiwa kwenye machela tayari kwa kupelekwa kuifadhiwa hospitalini.
MAHABUSU aliyekuwa anatuhumiwa kubeba madawa ya kulevya, Abdul
Koroma raia wa Sierra Leone ameuawa kwa kupigwa risasi na Askari
Magereza wakati akijaribu kutoroka katika eneo la Mahakama ya Kisutu
jijini Dar leo!
No comments:
Post a Comment