Wngine
ni Ambwene Mwasongwe, Bonny Mwaiteje, Upendo Kilahiro, Solomon Mukubwa
Kutoka nchini DRC Congo , Tumaini Njole, Titha Mutinda kutoka nchini
Kenya Joshua Mlelwa na wengine wengi.Tamasha la leo lilikuwa ni la
kwanza kufanyika mjini Songea na Mwandaaji wa tamasha hilo ambaye ni
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama, amesema
kampuni hiyo inatarajia kufanya matamasha mengine ya injili katika mkoa
huo wakati ujao kutokana na mwitikio wa watu wa Songea. Mwimbaji
Upendo Kirahilo akipagawisha mashabiki wake wakati alipokuwa akiimba
jukwaani katika tamasha la Krismas lililofanyika kwenye uwanja wa
Majimaji mjini Songea leo. Mwimbaji
Upendo Kirahilo akipagawisha mashabiki wake wakati alipokuwa akiimba
jukwaani katika tamasha la Krismas lililofanyika kwenye uwanja wa
Majimaji mjini Songea leo. Mwimbaji
Upendo Kirahilo akserebeka na Mkurugenzi wa Msama Promotion Bw. Alex
Msama alipokuwa akiimba jukwaani katika tamasha la Krismas
lililofanyika kwenye uwanja wa Majimaji mjini Songea leo. Mkurugenzi wa Msama Promotion Bw. Alex Msama na
MC wa Tamasha hilo Bw. Mwakipesile wakielekea kumtunza mwimbaji wa
muziki wa injili Joshua Mlelwa wakati alipokuwa akionyesha uwezo wake
jukwaani kwenye tamasha la Krismas lililofanyika mjini Songea leo. Mgeni
rasmi wa tamasha hilo Meya wa mji wa Songea Mh. Charles Mhagama
akizungumza na mashabiki wa muziki wa injili kwenye uwanja wa majimaji
kutoka kushoto ni Mmoja wa waratibu wa tamasha hilo John Melele. MC
Mwakipesile na Alex Msama Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion. Mwimbaji wa muziki wa injili Bonny Mwaiteje nakipagawisha mashabiki wake kwenye uwanja wa majimaji mjini Songea leo. Mwimbaji wa muziki wa injili Bonny Mwaiteje nakipagawisha mashabiki wake kwenye uwanja wa majimaji mjini Songea leo. Somlomon
Mkukubwa akiimba wimbo unaoelezea kisa cha mkono wake kukatwa ambao
unamuelezea mama wa kambo aliyesababisha tukio hilo na kuwaasa mashabiki
wake kusamehe kama yeye alivyomsamehe mama yake wa kambo Mashabiki wakiimba pamoja na mwimbajo Solomon Mukubwa
Mwimbaji
Ambwene Mwasongwe akiimba kwa hisia huku akishirikiana na mwimbaji
Solomon Mukubwa wakati wa tamasha la Krismas kwenye uwanja wa Majimaji
mjini Songea leo kutoka kushoto ni Edson Mwasabwite na Faraja Ntaboba
kutoka nchini DRC Congo.
No comments:
Post a Comment