Timu zikiingia uwanjani tayari kwa mchezo Wachezaji wakisalimiana :Kikosi cha Yanga Kikosi cha Simba kabla ya mchezo Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu akisalimiana na wachezaji wa Yanga Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu akisalimiana na wachezaji wa Simba Mkurugenzi
Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu akizungumza na vyombo vya habari kabla ya
mchezo kuanza, kushoto ni Godfrey Ngonyani Mkurugenzi wa ukaguzi wa
ndani
Mchezaji wa Simba akijiunga na PSPF
………………………………………………………………………….
TIMU ya Yanga veterani imeibuka
mshindi wa mchezo wa kirafiki dhidi ya Simba veterani ulioandaliwa na
PSPF, Yanga iliibuka na ushindi wa bao 4-3 na kubeba kombe. Mchezo huo
ulifanyika tarehe 1 Januari 2015 katika uwanja wa chuo cha Bandari,
Tandika jijini Dar es Salaam.
Hadi dakika tisini zinakamilika timu hizo zilitoka sare ya bao
moja kwa moja, mabao hayo yaifungwa na Omari kapilima kwa upande wa
Yanga na Barnabas Sekolo kwa upande wa Simba.
Bingwa wa mchezo huo alipatikana kwa njia ya matuta, ambapo kwa
upande wa Yanga walipata penalty ni Empram makoye, Ngada Shaganga,
Ismail Issa na Deo Lucas. Yanga ilikuwa ikifundishwa na Peter Tino
Kasongo Athumani kwa
Kwa upande wa simu waliozamisha penati ni Athumani Chama,
madaraka Selemani na Issa Manofu. Simba ilikuwa chini ya Kasongo
Athumani.
Lengo la mchezo lilikuwa kutoa burudani kwa wakazi wa Jiji la
Dar es Salaam na maeneo ya karibu hususani katika kipindi hiki cha
sikukuu za mwisho wa mwaka. PSPF itatumia fursa hiyo kutangaza huduma
zake mpya ambazo Mkopo wa Elimu na Mkopo wa Kuanza Maisha.
No comments:
Post a Comment