Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (kushoto)
akisalimiana na Waziri waMambo ya Ndani wa zamani,Mh. Ali Ameir Mohamed
wakati alipomtembelea nyumbani kwake eneo la Kichaviani,
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (kushoto)
akielezwa jambo na Waziri waMambo ya Ndani wa zamani,Mh. Ali Ameir
Mohamed wakati alipomtembelea nyumbani kwake eneo la Kichaviani, Jimbo
la Donge, Zanzibar.Mh. Lowassa yuko visiwani humo kwa ajili ya mapumziko
ya Krismasi.
No comments:
Post a Comment