Bondia Bernard Mwakasanga ‘Shoka ya Bucha ‘ wa uzito wa juu akipiga panch bag up cat kwa ajili ya maandalizi ya mpambano wake na Idi Kipandu ‘Idi Bonge’ mpambano utakaofanyika katika ukumbi wa Frends corner Manzese March 23 picha Zote na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia Bernard Mwakasanga ‘Shoka ya Bucha ‘ wa uzito wa juu akijifua kwa ajili ya mpambano wake na Idi Bonge March 23 |
Bondia Bernard Mwakasanga ‘Shoka ya Bucha ‘ wa uzito wa juu akinua chuma kwa ajili ya mpambano wake na Idi Bonge March 23 |
Na Mwandishi Wetu
Bondia
Bernard Mwakasanga ‘Shoka ya Bucha ‘ wa uzito wa juuameingia kambini
kwa ajili ya kujifua kuwinda mpambano wake wa march 23 katika ukumbi wa
frends corner Manzese Dar es salaam
ambapo
atapambana na Iddi Kipandu ‘iddi Bonge’ mpambano huo ambao unasubiliwa
kwa hamu kubwa sana na mashabiki mbalimbali wa mchezo huo sasa homa yake
imezidi kupamba moto baada ya kila mmoja kumtambia mwenzake kuwa
atammaliza raundi za awali
akizungumza
katika GYM yake iliyopo Gongolamboto Mwakasanga ameseme Iddi Bonge ni
kama nyama ya bucha hivyo mimi ni shoka nitapasua kichwa chake hivyo
watu waje wajionee ninavyo fungua bucha manzese siku hiyo
mpambano
huo ambao utakuwa na mapambano makali ya utangulizi kwa mujibui wa
mratibu wa mpambano huo Waziri Rosta ameongezea kuwa bondia Fadhili Mjia
‘stoper’ ataoneshana kazi na Juma Selemani uku Twalibu Mchanjo
akikutana na Mohamed Babeshi, wakati Hassani Mandula akipambana na Ally
Bugingo mpambano mwingine utawakutanisha Amani Bariki na Selemani Motto,
na Halidi Manjee akioneshana umwamba na Shabani Mtengela huku Mustafa
Dotto akizichapa na Ismail Ndende na Salimu Chagogo atazikunja na Salumu
Kombe
aliongeza kuwa ulizi na usalama wa mali zako ni wa huwakika hivyo familia nzima nmnawza kuja kushudia mpambano huo wa masumbwi bila shaka
aliongeza kuwa ulizi na usalama wa mali zako ni wa huwakika hivyo familia nzima nmnawza kuja kushudia mpambano huo wa masumbwi bila shaka
Katika mpambano huo siku hiyo
kutakuwa na uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi kali pamoja na
kutambua sheria zake zikiwa na mabondia wakali kama vile
No comments:
Post a Comment