on March 5, 2014 in BURUDANI
-Pati
linataraji kufanyika ndani ya Twanga City Mango Garden ambapo muonekano
wake utakuwa tofauti na siku za kawaida kwa kuwa ukumbi utapambwa
vilivyo.
-Mavazi rasmi yatakuwa ni ya ya rangi NYEKUNDU, NYEUPE na NYEUSI.
-Zawadi
kedekede zitatolewa na Rukia Saloon na Christer Bella Mwingira kama
vitenge na Khanga ambayo ni mavazi rasmi ya mwanamke.
-Kutakuwa
na ofa maalum kwa ajili ya akina mama toka kwa Mkurugenzi wetu Asha
Baraka kwa kila atakayefika katika onyesho atalipia Tshs 5,000. kuanzia
saa mbili mpaka saa nne usiku.
-Kiingilio kitakuwa ni Tshs 10,000. kwa VIP pamoja na kinywaji na kawaida ni Tshs 7,000/=
No comments:
Post a Comment