Waumini wa kanisa hilo wakishusha Saruji katika gari la Kiswaga |
Kiswaga akizungumza na waumini hao baada ya kuwakabidhi msaada wa Saruji |
Huku
akimpongeza Rais Dr Jakaya Kikwete kwa kuendelea kuongoza nchini kwa
hali ya amani na utulivu kwa kila mtanzania kufanya shughuli
zake bila kuwepo kwa vitendo vya uvunjifu wa amani kama zilizo nchi
nyingine barani Afrika.
Akizungumza
wakati wa kukabidhi msaada huo leo Kiswaga alisema kuwa
ametoa msaada huo kufuatia maombi ya uongozi wa kanisa hilo kwake
na kuwa kama mmoja kati ya waumini wa Kanisa hilo aliguswa na
jitihada za
waumini hao kutaka kumjengea nyumba mchungaji wao.
waumini hao kutaka kumjengea nyumba mchungaji wao.
Hivyo msaada
huo utasaidia kuanza ujenzi wa nyumba hiyo ya mchungaji na kuwa
ataendelea kuchangia hatu moja hadi nyingine katika ujenzi huo huku
akiwataka waumini wengine wa kanisa hilo a wale ambao si waumini wa
kanisa hilo kuendelea kujenga utamaduni wa kuchangia nyumba za
ibada ili ziweze kutumika katika kuliombea Taifa amani zaidi .
Alisema iwapo
watanzania wataelekeza nguvu zao katika ujenzi wa nyumba za ibada
nchi itaendelea kuwa na wananchi wacha Mungu na wasiopenda kuona
amani inachezewa .
Kiswaga
alisema kusaidia nyumba za ibada mbali ya kumwezesha mchangaji
kupokea baraka za Mungu katika shughuli zake ila bado ujenzi huo wa
nyumba za ibada utachangia watu wachache ambao hawana mazoea
ya kwenda katika nyumba za ibada kama Makanisani na Misikitini
kushawishika na kumgeukia Mungu.
“Nyumba za ibada ni sehemu ya baraka hivyo lazima watanzania kuendelea kuchuma baraka kwa kuchangia nyumba za ibada”
Akishukuru
kwa msaada huo mwenyekiti wa baraza la wazee kanisani hapo
Aidan Nyato alisema walilazimika kumwandikia barua Kiswaga na
kumuomba msaada wake kutokana na jitihada mbali mbali ambazo amekuwa
akionyesha katika kuwaletea maendeleo wananchi wa kijiji hicho na
maeneo mengine .
Alisema hadi
sasa bado kanisa hilo linaomba kusaidia msaada wa mbao zaidi ya 100
bati 150 ili kukamilisha ujenzi wa nyumba hiyo ya mchunga
No comments:
Post a Comment