Mgombea
Ubunge wa jimbo la Kalenga Bw. Godfrey Mgimwa akisalimiana na
waombolezaji mara baada ya kuwasili katika kata ya Nzihi Kidamali ambako
walienda kushiriki katika mazishi ya vijana watatu wa kijiji hicho
waliofariki kwa ajali jana mkoani Iringa, marehemu hao ni Nyakile
Luvanda Dereva, Sabasaba
Kunzula Kuli, Ansikali Chengula Kuli waliokuwa wakifanya kazi katika
kiwanda cha Maji Afrika yanayotengenezwa Kidamali mkoani humo, Katika
Mazishi hayo Naibu Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Mwigulu Nchema ametoa
shilingi milioni moja kama rambirambi kutoka Chama cha Mapinduzi huku
akimshauri mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia CCM ndugu Godfrey
Mgimwa kuchukua jukumu la kulipia karo za watoto wa familia za marehemu
endapo atashinda kiti hicho na kuwa Mbunge wa jimbo la Kalenga. Naibu Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Mwigulu Nchemba na Mgombea Ubunge wa jimbo la Kalenga Ndugu
Godfrey Mgimwa wakiwasili katika kijiji cha Kidamali wakati walipoenda
kushiriki mazishi ya wananchi watatu wa kijiji hicho waliofariki kwa
ajali jana. Naibu
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Mwigulu Nchemba akizungumza na wanachama wa
Chama cha CHADEMA mara baada ya kuwasili katika kijiji cha Kidamali. Majeneza
ya miili ya vijana waliofariki kwa ajali katika kijiji cha Kidamali
mkoani Iringa yakiwasili katika eneo la makaburi mahali ambapo mazishi
yamefanyika. Majeneza
ya miili ya vijana waliofariki kwa ajali katika kijiji cha Kidamali
mkoani Iringa yakiwasili katika eneo la makaburi mahali ambapo mazishi
yamefanyika. Ndugu wa marehemu wakilia kwa uchungu wakati waliowasili katika makaburi Ndugu wa marehemu wakilia kwa uchungu wakati waliowasili katika makaburi Majeneza
ya miili ya vijana waliofariki kwa ajali katika kijiji cha Kidamali
mkoani Iringa yakiwasili katika eneo la makaburi mahali ambapo mazishi
yamefanyika. Naibu Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Mwigulu Nchemba akishiriki mazishi hayo
Watoto wa mmoja wa marehemu wakiaga mwili wa baba yao huku wakilia kwa uchungu.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Mwigulu Nchemba na mgombea ubunge wa jimbo hilo Godfrey Mgimwa wakishiriki mazishi hayo. Umati wa waombolezaji ukiwa makaburiki ukishiriki katika mazishi hayo. Umati wa waombolezaji ukiwa makaburiki ukishiriki katika mazishi hayo. Mazishi ya miili hiyo yakiendelea. Naibu
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Mwigulu Nchemba na mgombea ubunge wa jimbo
hilo Godfrey Mgimwa wakiondoka mara baada ya mazishi hayo Kiongozi wa Chama cha Chadema akizungumza katika mazishi hayo ambapo Chama hicho kimetoa ubani wa shilingi elfu hamsini. Naibu
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Mwigulu Nchemba akizunguza katika mazishi
hayo ambapo Chama cha Mapinduzi kilitoa ubani wa shilingi milioni moja
taslimu kulia ni mgombea ubunge wa jimbo hilo Godfrey Mgimwa Hili ndilo gari lililosababisha vifo vya vijana hao.
No comments:
Post a Comment