Hapa akikaa chini kabisa na kuvua kofia kama ishara ya heshima
![]()  | 
|        Hapa akiinamisha kichwa chini baada ya kuamka | 
Pichani
 ni Sajenti Rusiate Bolavucu, 32, ambaye ameweza ku make head lines kwa 
kitendo chake cha kuketi kitako huku akiinama chini na baadae kuinamisha
 kichwa chini akiwa miongoni mwa askari maalum walioandalia kwa ajili ya
 kumpokea malikia wa Uingereza alikuwa ziarani huko Fiji Siku ya Juzi.
Wengi
 wamempongeza Askari huyo kwa kitendo chake hicho cha kishujaa na 
kuonesha Heshima ya Hali ya Juu, ingawa baadhi ya watu wamemponda kwa 
kumwambia amejidhalilisha, wewe unaonaje? 


No comments:
Post a Comment