TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Monday, January 27, 2014

SNURA: MWAKA 2014 AUANZA NA MAJANGA, PRESHA YATISHIA KUMTOA ROHO

Na: Hamida Hassan 
 STAA wa majanga, Snura Mushi ameuanza mwaka 2014 vibaya kutokana na maradhi ya presha yanayomsumbua mara kwa mara.
 
Snura Mushi.
Akipiga stori na Mwandishi wa habari hizi, Snura alisema kuwa hajui ni kitu gani kinamsumbua lakini kila akienda kupima anaambiwa ni presha imepanda na vidonda vya tumbo.
“Nimekuwa nikiumwa mara kwa mara na nikishikwa ni lazima niwekewe drip kwani naishiwa nguvu nakosa raha pia, sijielewi ingawa naambiwa kuwa nina mawazo,” alisema Snura akiwa nyumbani kwake, Mwananyamala, jijini Dar.

No comments:

Post a Comment