Askari
  waliokuwa  wakielekea katika mkutano   wa uzinduzi wa  kampeni  za CCM
 kata  ya  Nduli Iringa mjini wakitazama gari  ambalo alikuwa akiendesha
  OCD Iringa  lililopata  ajali majira ya saa 10 jioni leo (jana)  
jumapili japo hakuna  aliyepoteza maisha  ktk ajali hiyo iliyotokea  
kona  la Mgong
 
No comments:
Post a Comment