Baada ya kuiona picha hiyo nlijiuliza 
maswali mengi sana moja ni kujua kama kweli mdada huyo ni mbongo au watu
 wanazusha tu, hiki ndo kilichoandikwa katika moja ya blog zilizoandika 
story hiyo. "Msanii maarufu wa muziki wakizazi kipya 
ajulikane kwajina la davido tika nchini Nigeria anaetamba na kibao chake
 cha SKELEWU,hivi ndivyo alivyo pigwa picha na mwana dada huyu anaedaiwa
 kuwa mwigizajiwa bongo wakiwa katika pozi la mahaba alivyokuja Bongo."

Katika uchunguzi uliofanya na 
Bongoclantz.com umebaini kua story hiyo ni feki, na wala mdada yule si 
mbongo kama watu walivyozusha.  Ukweli kuhusu story hiyo ni kua mdada 
huyo ni raia wa Nigeria na story hii ilikua ni ya mwaka jana mwezi wa 
tatu. Unaweza soma baadhi ya story hizo kwa kubonyeza link zifuatazo LINK1, LINK2, LINK3 kama utazisoma vizuri na kutazama tarehe za story hizo utagundua kua story zote hizo ni za mwaka jana mwezi wa tatu.
Davido alivyotafutwa hiyo mwaka jana 
baada ya picha hizo kusambaa mtandaoni alisema kua hamjui na wala 
hajawahi kumwona mwanamke huyo na anashindwa kuelewa ilikuaje hadi 
akaingia katika chumba chake na jinsi picha hiyo ilivyosambaa. 
Skendo hii ya kusambaa kwa picha za 
Davido akiwa na mwanamke kitandani na picha kusambaa mtandaoni si ya 
mara ya kwanza kwani kuna mdada mwingine alishapiga picha na kuzisambaza
 mtandaoni. Picha hizo zilimwonyesha mdada huyo akiwa na Davido 
kitandani
No comments:
Post a Comment