BONGO FLAVA ARTIST OMMY DIMPOZ AMEFUNGUKA SABABU YA NGOMA YAKE YA 
TUPOGO KUTOFANYIWA VIDEO MPAKA LEO LICHA YA KUWA NI MOJA KATI YA COLLABO
 KUBWA KUWAHI KUFANYWA KATI YA MSANII WA BONGO NA MSANII MKUBWA HOT IN 
AFRIKA, COZ ALIIFANYA NA J MARTINS,KAMA ZILIVYO NGOMA ZOTE ZA OMMY 
DIMPOZ KUWA ZINAFANYAGA VIZURY HATA TUPOGO HAIKUPATA SHIDA KUTOP UP HADI
 NAFASI YA KWANZA KWENYE CHAT MBALIMBALI
 IKIWEMO CLOUDS FM TOP 20, WENGI TULITEGEMEA VIDEO YAKE INGEFANYIKA 
FASTA, NA PENGINE INGEMUWEKA KTK RAMANI YA MUZIKI WA AFRIKA, ANGEONEKANA
 KAMA SASA DIAMOND ANAVYOFANYA VIZURY ZAIDI BAADA YA COLLABO YAKE NA 
DAVIDO, 
 SASA DIMPOZ AMEELEZEA SABABU ZA TUPOGO KU DELAY
 
 NA PIA OMMY DIMPOZ AKAFUNGUKA KUHUSU TOUR NDEFU ANAYOTARAJIA KUANZA SIKU NYINGI NDANI NA NJE YA NCHI
BONGO FLAVA ARTIST OMMY DIMPOZ AMEFUNGUKA SABABU YA NGOMA YAKE YA TUPOGO KUTOFANYIWA VIDEO MPAKA LEO LICHA YA KUWA NI MOJA KATI YA COLLABO KUBWA KUWAHI KUFANYWA KATI YA MSANII WA BONGO NA MSANII MKUBWA HOT IN AFRIKA, COZ ALIIFANYA NA J MARTINS,KAMA ZILIVYO NGOMA ZOTE ZA OMMY DIMPOZ KUWA ZINAFANYAGA VIZURY HATA TUPOGO HAIKUPATA SHIDA KUTOP UP HADI NAFASI YA KWANZA KWENYE CHAT MBALIMBALI IKIWEMO CLOUDS FM TOP 20, WENGI TULITEGEMEA VIDEO YAKE INGEFANYIKA FASTA, NA PENGINE INGEMUWEKA KTK RAMANI YA MUZIKI WA AFRIKA, ANGEONEKANA KAMA SASA DIAMOND ANAVYOFANYA VIZURY ZAIDI BAADA YA COLLABO YAKE NA DAVIDO,
SASA DIMPOZ AMEELEZEA SABABU ZA TUPOGO KU DELAY
NA PIA OMMY DIMPOZ AKAFUNGUKA KUHUSU TOUR NDEFU ANAYOTARAJIA KUANZA SIKU NYINGI NDANI NA NJE YA NCHI

No comments:
Post a Comment