...Akitafakari jambo.
| Rais Kikwete akiongea na wakazi wa Magole leo. | 
RAIS 
Dk. Jakaya Kikwete leo ametua kwa helikopta kijijini Magole, Dumila ili 
kukagua daraja lililoharibiwa na mvua pamoja na kuongea na wananchi wa 
eneo hilo waliokumbwa na mafuriko yaliyotokea Januari 22, mwaka huu 
wilayani Mvomero, Morogoro.
No comments:
Post a Comment