Mbunge
 wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, akihutubia mkutano wa hadhara 
ikiwa ni mfululizo wa mikutano ya Operesheni M4C Pamoja Daima, 
uliofanyika katika mji wa Chamara mkoani Mbeya juzi. 
Katibu
 Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Cadema), Dk. Willibrod Slaa 
akimnadi mgombea udiwani katika Kata ya Njombe Mjini kupitia chama 
hicho, Agrey Mtamba, wakati wa mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C 
Pamoja Daima, uliofanyika mjini Njombe. 
Aliyekuwa
 Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tawi la Isitu, Chimara mkoani 
Mbeya, Felix Komba akizungumza katika mkutano wa Operesehni M4C Pamoja 
Daima mbele ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo 
(Chadema), Dk. Willibrod Slaa, baada ya katibu huyo kujiunga na Chadema 
wakati wa mkutano huo uliofanyika Chimara 

Wananchi
 wa mji wa Njombe na vitongoji wakiwa katika mkutano wa hadhara wa 
Operesehni M4C Pamoja Daima, wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo 
(Chadema), uliofanyika mjini Njombe. 

Katibu
 Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa
 akiwahutubia wananchi wa mji wa Makmabako, katika mkutano wa hadhara wa
 Operesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika. 
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Mendeleo (Chadema), Dk. 
Willibrod Slaa akiwasili katika mji wa Chimara mkoani Mbeya, ambako 
alifanya mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika.




No comments:
Post a Comment