| Bondia Husein Pendeza  wa Klabu ya Ashanti Ilala kulia  akimtupianamakonde kiufundi na Ayubu Ibrahimu wa Green House wakati wa ufunguzi wa mashindano ya
 wazi mkoa wa Dar es salaam yanayoenderea katika ukumbi wa panandi 
pasnandi Ilala Bungoni Ibrahimu alishinda kwa point  
 
 Mbunge wa Ilala Mussa Zungu akifatilia mchezo wa ngumi Na Mwandishi Wetu SHILIKISHO la ngumi za ridhaa Mkoa wa Dar es salaam umezindua rasmi mashindano yake ya kwanza tanga waingie Madarakani mashindano hayo yalifunguliwa jumatatu na mgeni rasmi 
Mbunge
 wa Ilala Mussa AzanZungu ambayo imekutanisha zaidi ya timu ishirini na 
mabondia 60 wa mkoa huu akisoma risala kwa mgeni rasmi  
Mwenyekiti wa ngumi mkoa wa Dar, Akaroli Godfrey amesema mbali na mashindano hayo kuwa na changamoto mbalimbali wameamua
 kuyafanya kwa kuwa yapo kwenye karenda yao ata hivyo akuna zawadi 
zozote kwa mabondia watakaopigana hivyo kama mbunge wa jimbo la ilala 
tunaomba utupatie angarau medali kwa mabondia aidha vifaa tulivyo navyo avikizi kimchezo 
akijibu
 risara hiyo mbunge huyo ame haidi kutoa zawadi pamoja na kuwa mlezi wa 
ngumi za ridhaa mkoa wa Dar es salaam na kuwasaidia kutafuta wadhamini 
mbalimbali watakaojitokeza kuinua mchezo wa masumbwi nchini ili ngumi 
zisonge mbele  
katika
 ufunguzi huo mabondia Anton Idoa alimtwanga kwa K,O ya raundi ya pili 
bondia Mohamed Mzeru huku John Cristian akimsambaratisha Omar Said, na 
shabani Alimasi akimdunda Saidi Kondo na bondia pekee kutoka timu ya shanti ya Ilala,Hussein Pendeza alipoteza kwa pointi na Ayubu Ibrahimu  
 | 
No comments:
Post a Comment