Waziri
 wa Katiba na Sheria, Dkt. Asha-Rose Migiro (kushoto) akipokea nakala za
 ripoti za Tume ya Mabadiliko ya Katiba ikiwemo Rasimu ya Katiba kutoka 
kwa  Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Joseph Warioba wakati wa ziara yake 
ya kutembelea na kuzungumza na Watendaji wa Tume hiyo aliyoifanya 
mwishoni mwa wiki Jijini Dar es Saalam.
Mwenyekiti
 wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba (kulia) akimpokea 
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha-Rose Migiro (kushoto) wakati 
alipowasili katika Ofisi za Tume hiyo kutembelea na kuzungumza na 
Watendaji wa  Ofisi hiyo katika ziara yake aliyoifanya mwishoni mwa 
wiki.
 (PICHA NA TUME YA KATIBA) 


No comments:
Post a Comment