Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 akisalimiana na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya wakati alipofika Ofisini 
kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Jan 28, 2014 kwa mazungumzo, akiwa
 ameongozana na manaibu wake, Mwiguku Nchemba na Adam Malima
 Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 akizungumza na Mkurugenzi wa Kampuni ya Statoil Tanzania Oystein 
Michelsen, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, 
leo Jan 28, 2014 kwa mazungumzo. Kushoto ni Meneja wa Biashara wa 
Kampuni ya Statoil Tanzania, Oivind Holm.
 -Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 akizungumza na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya na manaibu wake, Mwigulu 
Nchemba na Adam Malima, wakati walipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar
 es Salaam, leo Jan 28, 2014 kwa mazungumzo.
Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya Statoil 
Tanzania Oystein Michelsen (wa pili kushoto) Meneja wa Biashara wa 
Kampuni ya Statoil Tanzania, Oivind Holm (wa pili kulia) Mkuu wa Kitengo
 cha Mawasiliano wa kampuni hiyo, Genevieve Kisanga (kulia) na Msaidizi 
wa Mkurugenzi, Grace Usara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini
 kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam. Picha na OMR 

No comments:
Post a Comment