Wachezaji wa Timu ya Polisi Ufundi ya Temeke na Timu ya Lusaka ya 
temeke wakiwa wanawania mpira katika mechi mojawapo ya mashindano ya 
Mpinga Cup mzunguko wa pili, Timu ya Polisi Ufundi iliibuka na ushindi 
wa goli 1 – 0. 
 
 
 Mchezaji wa Timu ya Kilimo Road ya Temeke akipiga moja ya mpira wa 
adhabu kuelekea katika lango la Timu ya Transforma ya Temeke, katika 
mchezo huu ndani ya dakika 90 timu zote zilitoka sare ya goli 1-1, na 
ndipo penalty zilpigwa ili kumpata mshindi na timu ya Transforma 
ilishinda kwa magoli 5 – 4.
Mchezaji wa Timu ya Transforma ya Temeke akipiga moja ya penalti 
kuelekea katika lango la Timu ya Kilimo Road ya Temeke, katika mchezo 
huu ndani ya dakika 90 timu zote zilitoka sare ya goli 1-1, na ndipo 
penalti zilpigwa ili kumpata mshindi na timu ya Transforma ilishinda kwa
 magoli 5 – 4.
Mchezaji
 wa Timu ya Kilimo Road ya Temeke akipiga moja ya penalti kuelekea 
katika lango la Timu ya Transforma ya Temeke, katika mchezo huu ndani ya
 dakika 90 timu zote zilitoka sare ya goli 1-1, na ndipo penalty 
zilpigwa ili kumpata mshindi na timu ya Transforma ilishinda kwa magoli 5
 – 4.



No comments:
Post a Comment