Baadhi
 ya wananchi wa mji wa Mbeya wakiwa wabeba mabango yenye ujumbe 
mbalimbali, wakati wa mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima 
wa Chadema, uliofanyika kwenye Uwanja wa Lwanda Nzovwe mjini Mbeya jana. 

Mbunge
 wa Mbozi Mashariki, Davi Silinde (Chadema), akiwahutubia wananchi wa 
mji wa Mbeya, katika mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima 
uliofanyika kwenye Uwanja wa Rwanda Nzovwe mjini Mbeya jana.
Katibu
 Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa
 akihutubia mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima, 
uliofanyika kwenye Uwanja wa Rwanda Nzovwe jana. 
 
 
Katibu
 Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa
 na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, wakiondoka kwa 
shamrashamra, baada ya kuhutubia mkutano wa hadahara wa Operesheni M4C 
Pamoja Daima, uliofanyika katika mji wa Makongorosi mkoani Mbeya jana.
Katibu
 Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa
 akiwa amembeba mtoto Sheila Shukurani (3), kabla ya kuhutubia mkutano 
wa hadhara matika mji wa Makongorosi mkoani Mbeya jana.
Mbunge
 wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, akiwahutubia wananchi wa mji wa
 Mbeya na vitongiji vyake katika mkutano wa hadhara wa Operesehni M4C 
Pamoja Daima, uliofanyika kwenye Uwanja wa Rwanda Nzovwe jana.




No comments:
Post a Comment