Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti 
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM 
Taifa Abdulrahman Kinana,wakati alipowasili katika viwanja vya Mpira 
Kiembesamaki katika Mkutano wa maadhimisho ya miaka 37 ya kuzaliwa kwa 
CCM,sambamba na kumnadi Mgombea wa CCM wa uwakilishi Jimbo la 
Kiembesamaki Mahmoud Thabit Kombo leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] 

Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti 
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akivalishwa Skafu  na vijana 
Chipukizi wakati mapokezi alipowasili viwanja vya Mpira Kiembesamaki 
katika Mkutano wa maadhimisho ya miaka 37 ya kuzaliwa kwa CCM,sambamba 
na kumnadi Mgombea wa CCM wa uwakilishi Jimbo la Kiembesamaki Mahmoud 
Thabit Kombo leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
 
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti 
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na  Katibu Mkuu wa CCM 
Taifa Abdulrahman Kinana,wakati alipowasili katika viwanja vya Mpira 
Kiembesamaki katika Mkutano wa maadhimisho ya miaka 37 ya kuzaliwa kwa 
CCM,sambamba na kumnadi Mgombea wa CCM wa uwakilishi Jimbo la 
Kiembesamaki Mahmoud Thabit Kombo leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
 
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti 
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na wananchi 
na wanachama wa CCM  katika Mkutano wa maadhimisho ya miaka 37 ya 
kuzaliwa kwa CCM,sambamba na kumnadi Mgombea wa CCM Jimbo la 
Kiembesamaki Mahmoud Thabit Kombo leo,  katika uwanja mpira  
Kiembesamaki palipofanyika mkutano huo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti 
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akimnadi na kumuombea kura kwa 
wanaCCM na Wananchi, Mgombea wa  CCM wa uwakilishi Jimbo la Kiembesamaki
 Mahmoud Thabit Kombo leo,katika Mkutano wa maadhimisho ya miaka 37 ya 
kuzaliwa kwa CCM katika viwanja vya mpira Kiembesamaki.[Picha na 
Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:
Post a Comment