Bi 
 Asha Ismail mkazi wa Kitomanga mkoani Lindi akitwishwa ndoo ya maji na 
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mizengo Pinda baada ya 
kuzindua kisima cha maji kilichojengwa na kampuni ya CCP inayojenga 
bomba la mafuta kutoka Mtwara kwenda Dar es salaam. 

Mhandisi
 Baltazari Mrosso akitoa maelezo ya maendeleo ya ujenzi wa bomba la gesi
 linalotoka Mtwara mpaka Dar es salaam kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya 
Muungano wa Tanzania  Mizengo Pinda wakati anakagua maendeleo ya ujenzi 
wa bomba hilo. 
Waziri
 Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mizengo Pinda akizindua na 
kuweka jiwe la msingi la kiwanda cha saruji cha MEIS eneo la Machole 
mkoani. 

Waziri
 Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mizengo Pinda akitembelea 
baadhi ya maeneo ya kiwanda cha saruji cha MEIS  baada ya kikizindua.



No comments:
Post a Comment