Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Profesa Jeffrey Sachs usiku wa juzi, 
Jumatano, Januari 22, 2014, wakati wa mjadala kuhusu jinsi ya kuongeza 
kasi ya mafanikio katika kilimo cha Afrika kwenye Chakula cha Usiku 
kilichoandaliwa na Taasisi ya Kilimo ya Grow Africa mjini Davos, Uswisi,
 ikiwa ni moja ya shughuli za Mkutano wa Mwaka 2014 wa Taasisi ya Uchumi
 Duniani (WEF). Katikati ni Waziri wa Kilimo wa Nigeria Mhe Dr. Akinwumi Adesina 
Picha na IKULU

No comments:
Post a Comment