Mkurugenzi
 wa Takwimu za Uchumi Bw. Morice Oyuke kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu 
(katikati) akizungumza na Waandishi wa habari kuhusu ukuaji wa Pato la 
Taifa kwa robo mwaka ya tatu ya mwaka 2013 ambapo katika kipindi cha 
Julai – Septemba, 2013 Pato la Taifa kwa bei za soko liliongezeka kwa 
kasi ya asilimia 6.5 ikilinganishwa na asilimia 7.2 kwa kipindi kama 
hicho mwaka 2012. Kulia kwake ni Bw. Juma Omary, Mchumi Mkuu kutoka 
Ofisi ya Rais Tume ya Mipango na kushoto ni Bw. Daniel Masolwa Meneja 
Takwimu za Pato la Taifa kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu. 
 (Picha na Veronica Kazimoto)
Baadhi
 ya Waandishi wa Habari wakimsikiliza Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi 
Bw. Morice Oyuke kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (katikati) akizungumza
 kuhusu ukuaji wa Pato la Taifa kwa robo mwaka ya tatu ya mwaka 2013 
katika ukumbi uliopo Ofisi ya Rais Tume ya Mipango, Dar es Salaam. (Picha na Veronica Kazimoto).

No comments:
Post a Comment