TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Tuesday, January 28, 2014

WAKAZI WA JIJI LA MWANZA WASHUHUDIA AJALI MBAYA YA GARI KWA GARI

Makutano ya barabara ya kuingia Stendi ya Nyegezi mkoani Mwanza, kumetoa ajali ya magari mda huu wa saa 5 asubuhi, ambapo lori(gari kubwa la mizigo) limegonga kwa nyuma gari la PEPSI liliokuwa limebeba makreti ya soda. Ona matukio katika picha:

wananchi mashuda wakiangalia ajali hiyo.
walivyogongana kwa nyuma.
Hivi ndivyo ajali ilivyotokea hapa Stendi Nyegezi.

No comments:

Post a Comment