Mkurugenzi
Mkuu wa Bodi ya Michezo ya bahati nasibu , Bw Abbass Talimba
akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla ya
kukabidhi leseni ya kuendesha bahati nasibu ya Taifa kwa Kampuni ya
Murhandziwa.
Bodi
ya Michezo ya bahati nasibu ya Taifa leo imetoa leseni ya kuendesha
Bahati nasibu ya Taifa kwa Kampuni ya Murhandziwa ambayo itakuwa
ikiendesha bahati nasibu hiyo hapa nchini ambapo Bahati nasibu hiyo
itaanza mnamo tarehe 4 Julai 2015.Bei ya tiketi zitakazouzwa itagharimu
shilingi za Kitanzania shilingi 500 kwa kila tiketi.
Baadhi
ya viongozi wa Kampuni ya Murhandziwa pamoja na viongozi wa Bodi ya
Michezo ya Bahati nasibu ya Taifa wakitazama video ya Mwenyekiti wa
kampuni ya Kampuni ya Murhandziwa amaye hakuweza kufika kwenye hafla hiyo
Mkurugenzi wa Bodi ya Michezo ya bahati nasibu, Abbass Talimba (wa pili kutoka kushoto) akiwa na Mwenyekiti wa wa
Bodi ya Michezo ya bahati nasibu, William Mdundo wakikabidhi leseni
kwa viongozi wa Kampuni ya Murhandziwa ambao ndio wamepewa kibali cha
kuendesha bahati nasibu ya Taifa nchini Tanzania. Aliyeshika Leseni hiyo
ni Mkurugenzi mkuu wa Kampuni ya Murhandziwa, Lucien D Avece( wa tatu
kutoka kulia).
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Michezo ya bahati nasibu , Bw Abbass Talimba akijibu maswali ya waandishi wa habari (hawapo Pichani)
Mkurugenzi
mkuu wa Kampuni ya Murhandziwa, Lucien D Avece akiyatolea ufafanuzi
maswali yaliyoulizwa na waandiahi wa habari (hawapo pichani)
Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria mkutano huo uliofanyika katika hoteli ya Double Tree by Hilton - Masaki
No comments:
Post a Comment