Mke wa Rais wa Ujerumani Mama
Daniela Schadt akifuatana na Waziri wa Uwezeshaji Ustawi wa
Jamii,Vijana Wanawake na Watoto Bi Zainab Omar Mohammed (MBM) Bandarini
mara baada ya kuwasili akitokea Dar es Salaam akiwakatika ziara ya siku
moja nchini ya Rais wa Ujerumani,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Ujerumani Mhe,Joachim Gauck akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pamoja na Mke wa Rais wa Ujerumani Mama Daniela
Schadt (katikati) wakianaglia Ngoma za asili wakati wa mapokezi yao
wakiwa katika ziara ya siku moja wakitokea dar es Salaam leo,[Picha na
Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake Rais
wa Ujerumani Mhe,Joachim Gauckkatika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
alipofika na ujumbe wake leo akiwa katika ziara ya siku moja
nchini,[Picha na Ikulu.]
TAN

Bayport

Kikoa

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Wednesday, February 4, 2015
ZIARA YA RAIS WA UJERUMANI ZANZIBAR
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment