Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Bibi Joyce Fisoo( wakwanza kushoto) akitoa ufafanuzi kuhusu filamu hiyo
iliyokuwa ikirekodiwa na raia wa Norway katika Ofisi ya Bodi ya Filamu mwishoni
mwa wiki.
Raia hao wa Norway katika picha wakiwa
katika kikao kuhusu filamu waliyokuwa wakirekodi kwenye Ofisi ya Bodi
ya Filamu hivi karibuni.
Bw.Torshin Nodland raia wa Norway (watatu kulia)akijitetea kuhusu
filamu hiyo waliyokuwa wakirekodi mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya vifaa walivyokuwa wakitumia raia
hao wa Norway katika kurekodi filamu hiyo vikiwa katika Ofisi ya Bodi ya Filamu
mwishoni mwa wiki.
No comments:
Post a Comment