TAN
Bayport
Kikoa
Myway entertainment
FORE PLAN CLINIC
MPINGA CUP 2016
Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Thursday, February 5, 2015
Kikao cha Baraza la Wafanyakazi OMR chafanyika leo
Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Sazi Salula (kulia)ambaye pia ni Katibu Mkuu katika Ofisi hiyo, akifungua rasmi kikao cha Baraza la Wafanyakazi kilichofanyika katika ukumbi wa Hazina jijini Dar es Salaam leo. Pembeni yake ni Katibu wa Baraza la Wafanyakazi Bw. Isaya Kisiri.
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wakisikiliza kwa makini Hotuba ya Mwenyekiti wa Baraza hilo Bw. Sazi Salula (hayupo pichani).
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment