Ujumbe wa Tanzania ulioshiriki katika ziara ya kutangaza vivutio vya utalii nchini katika soko la Marekani Magharibi.
Katibu
Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dk. Adelhelm Meru (kulia) akimpa
zawadi ya kinyago Naibu Meya wa jiji la Seattle nchini Marekani Bi. Kim
mara baada ya kumaliza mazungumzo yao
Waziri
Kivuli wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Iringa Mjini Mhe. Peter
Msigwa akiongea katika ziara ya kutangaza vivutio vya utalii nchini
katika jiji la Seattle nchini Marekani.
Katibu
Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dk. Adelhelm Meru (kulia) akipokea
kitabu maalum chenye kueleze historia ya jjji la Seattle kutoka kwa
Naibu Meya wa jiji la Seattle nchini Marekani Bi. Kim.
Ujumbe
wa Tanzania ukiwa katika mazungumzo na viongozi wa jiji la Seattle
nchini Marekani katika mazungumzo ya namna ya kuongeza watalii nchini
kutoka katika jiji hilo.
Katibu
Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dk. Adelhelm Meru (kulia) akiongea
na Naibu Meya wa jiji la Seattle nchini Marekani Bi. Kim alipomtembelea
kwa ajili ya mazungumzo ya namna ya kuongeza watalii nchini kutoka
katika jiji hilo.
No comments:
Post a Comment