TAN
Bayport
Kikoa
Myway entertainment
FORE PLAN CLINIC
MPINGA CUP 2016
Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Wednesday, January 14, 2015
BENKI YA EXIM YAIPIGA JEKI HOSPITALI TABORA
Kamanda kikosi namba 823 cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Msange , Meja A.A Ahmed (kulia) akipokea msaada kutoka kwa Meneja wa Benki ya Exim tawi la Tabora Bw. Edwin Polle (kushoto) ulioambatana na kitanda maalum kwa kina mama wajawazito jijini Tabora hivi karibuni. Wengine ni wawakilishi wa jeshi hilo na benki. Picha na mpiga picha wetu.

Kamanda kikosi namba 823 cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Msange , Meja A.A Ahmed akizungumza kutoa shukrani kwa Benki ya Exim Tawi la Tabora baada ya benki hiyo kutoa msaada wa kitanda maalum kwa kina mama wajawazito jijini Tabora hivi karibuni. Kulia kwake Meneja wa Benki ya Exim tawi la Tabora Bw. Edwin Polle. Wengine ni wawakilishi wa jeshi hilo na benki. Picha na mpiga picha wetu.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment