TAN
Bayport
Kikoa
Myway entertainment
FORE PLAN CLINIC
MPINGA CUP 2016
Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Wednesday, January 14, 2015
KIKAO CHA KAWAIDA CHA KAMATI KUU YA CCM CHAFANYIKA KISIWANDUI ZANZIBAR
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mh. Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati alipowasili katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kuhudhuria kikao cha akawaida cha Kamati kuu kinachofanyika leo mjini Zanzibar na kuhudhuria na wajumbe mbalimbali.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mh. Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na Naibu Katibu mkuu Zanzibar Mh. Vuai Ali Vuai baada ya kuwasili kwenye ofisi kuu ya CCM Kisiwandui kwa ajili ya kikao cha Kamati Kuu katikati ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mh. Dr. Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha Kamati kuu ya CCM Mjini Zanzibar Kushoto ni Dr. Ali Mohamed Shein Makamu Mwenyekiti Zanzibar na kukia ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
tangaza wajumbe waliohudhuria katika kikao hicho na kueleza kwa wale walioto udhuru wa sababu ya kutokuwepo katika kikoa hicho.
Wajumbe wa Kamti Kuu kulia ni Dr. Emmanuel Nchimbi na kushoto ni William Lukuvi wakijadiliana jambo kabla ya kuanza kwa kikao hicho.
Baadhi ya wajumbe wakisubiri kufunguliwa kwa kikao hicho.
Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM kutoka kulia ni Mh. Pandu Kificho, Anne makinda, Mwigulu Nchemba Naibu Katibu Mkuu bara na Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Vuai Ali Vuai wakiwa katika kikao hicho.
Katibu wa Siasa, Itikadi na Uenezi CCM Ndugu Nape Nnauy
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment