Mratibu wa Mpango wa Kampuni ya
Konyagi wa kuwasomesha watoto wa wakulima wa zao la zabibu kwa masomo ya
Sekondari Saimon Chibehe (katikati), akitembelea hivi karibuni shamba
la zabibu la Festo Kuziganika katika Kijiji cha Mbabara, mkoani Dodoma.
Kulia ni mmoja wa wakulima wa eneo hilo, Juliana Masukwi. Watoto wa
wakulima hao wameingizwa kwenye mpango huo.
Festo Kuziganika mkazi na mkulima
wa zabibu katika katika Kijiji cha Mbabara, Manispaa ya Dodoma
akimuelekeza jambo Mratibu wa Mpango wa Kampuni ya Konyagi wa
kuwasomesha watoto wa wakulima wa zao hilo kwa masomo ya
Sekondari,Saimon Chibehe (kulia) aliyekwenda hivi karibuni kuwatembelea
wakulima hao.
Mratibu wa Mpango wa Kampuni ya
Konyagi wa kuwasomesha watoto wa wakulima wa zao la zabibu kwa masomo ya
Sekondari Saimon Chibehe (wa pili kulia), akisikiliza maelezo kutoka
kwa Mkulima Juliana Masukwi (kulia), kuhusu utunzaji wa zao hilo,
alipotembelea hivi karibuni shamba hilo katika Kijiji cha Mbabara,
mkoani Dodoma. Wa pili kushoto ni mmoja wa wakulima wa zabibu katika
Kijiji hicho, Festo Kuziganika. Watoto wa wakulima hao wameingizwa
kwenye mpango huo wa kulipiwa masomo.
Mratibu wa Mpango wa Kampuni ya
Konyagi wa kuwasomesha watoto wa wakulima wa zao la zabibu kwa masomo ya
Sekondari Saimon Chibehe (katikati), akitembelea hivi karibuni shamba
la zabibu la Festo Kuziganika katika Kijiji cha Mbabara, mkoani Dodoma.
Kulia ni mmoja wa wakulima wa eneo hilo, Juliana Masukwi. Watoto wa
wakulima hao wameingizwa kwenye mpango huo.
Mkulima Juliana Masukwi mkazi wa
Mbabara A’, mkoani Dodoma akimuonesha mti wa mzabibu Mratibu wa Mpango
wa kuwasomesha watoto wa wakulima wa zao hilo kwa masomo ya
SekondariSaimon Chibehe (hayupo pichani), ambaye hivi karibuni
alitembelea shamba lake lililomwezesha mtoto wake aanze kufadhiliwa na
kampuni ya Konyagi kielimu kwa masomo ya sekondari.
No comments:
Post a Comment