TAN
Bayport
Kikoa
Myway entertainment
FORE PLAN CLINIC
MPINGA CUP 2016
Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Wednesday, January 14, 2015
KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AANZA ZIARA KISIWANI ZANZIBAR
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akivishwa skafu na vijana wa Chipukizi mara baada ya kuwasili kwenye tawi la Kilimani mjni Zanzibar mara baada ya kuanza ziara ya kikazi kisiwani Zanzibar Unguja na Pemba itakayomchukua siku 17 akikagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 na kuhimiza utekelezaji wake, Katibu Mkuu Ndugu Kinana anaongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikasi na Uenezi.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana
akipokea heshima kutoka kwa vijana wa chipukizi.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana
akiwa na viongozi wengine wakiimba wimbo kabla ya kuanza kikao cha ndani na wajumbe wa harmashauri kuu ya wilaya ya mjini Zanzibar.
Kutoka kulia Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Vuai Ali Vuai na Nape nnauye wakiwa katika mkutano huo na Masauni Yusuph Masauni.
be wakiwa katika mkutano huoBaadhi ya wajum
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment