Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(wa pili kulia) akiwa na Waziri wa Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo
Said Ali Mbarouk (kulia) Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda (kushoto)
na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis wakiwa
katika Taarab rasmi iliyocharazwa na kikundi cha Taifa cha Culture
Muzical Club katika ukumbi wa salama Bwawani Hotel Mjini Unguja jana
katika kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanziba,[Picha na
Ikulu,] Mke
wa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Pili balozi Seif Iddi
(kulia) akiwa na Waziri wa Kilimo na Maliasili Dkt.Sira Ubwa Mamboya
wakiwa katika Taarab rasmi ya kusherehekea miaka 51 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar iliyocharazwa na kikundi cha Taifa cha Culture Muzical Club katika ukumbi wa salama Bwawani Hotel Mjini Unguja jana,[Picha na Ikulu,] Baadhi ya wananchi na mashabiki wa Taarab waliohudhuria katika hafla ya Taarab hiyo ya kusherehekea miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar iliyocharazwa na kikundi cha Taifa cha Culture Muzical Club katika ukumbi wa salama Bwawani Hotel Mjini Unguja jana,[Picha na Ikulu,] Mwimbaji wa Kikundi cha Taifa cha Culture Muzical Club Mtumwa Mbarouk akiimba wimbo wa “Mpewa hapokonyeki”
wakati wa Taarab rasmi ya kusherehekea miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu
ya Zanzibar mbele ya mgeni Rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein jana katika ukumbi wa Salama
Bwawani Hotel Mjini Unmguja,[Picha na Ikulu,] Waimbaji wa Kikundi cha Taifa cha Culture
Muzical Club Asha Alli na Khamis Nyange wakiimba wimbo wa miaka 51 ya
mapinduzi matukufu ya Zanzibar uliotungwa na Profesa Gogo mbele
ya mgeni Rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein jana katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini
Unmguja,[Picha na Ikulu,] Mwimbaji
wa Kikundi cha Taifa cha Culture Muzical Club Saada Mohammed akiimba
wimbo uanosema “kweli nnae” wakati wa Taarab rasmi ya kusherehekea
miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar mbele ya mgeni Rasmi Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein jana
katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unmguja,[Picha na Ikulu,]
No comments:
Post a Comment