Waziri Mkuu, Mizengo Pida
akizungumza na Rais wa zamani wa Botswana, Festus Mogae baada ya
kufungua kikao cha mapitio ya Programu ya Matokeo Makubwa sasa (BRN)
kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Dar es salaam Januari 15, 2015. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment