CHAMA
CHA TENNIS TANZANIA (TTA) KUANDAA TENA MASHINDANO YA
AFRIKA
MASHARIKI (EAST AFRICAN JUNIOR ZONAL CHAMPIONSHIPS) KWA VIJANA
CHINI YA UMRI WA MIAKA 16, JANUARI 11-19 2015.
Chama cha Tennis Tanzania (TTA) kimepewa nafasi nyingine tena ya kuandaa mashindano ya vijana wa
ukanda wa Afrika Mashariki (East Africa
zonal championships) na yatafanyika kuanzia
tarehe 11 hadi 19 Januari 2015. Nchi shiriki kwa mwaka 2015 ni Burundi,
Comoros, Ethiopia, Kenya, Rwanda, Seychelles, Sudan na Tanzania.
Tunategemea
jumla ya washiriki wapatao 72 (pamoja na Tanzania). Tanzania itawakilishwa na vijana 22 ikiwa na team A na B.
TTA inajivunia kuanzishwa
kwa mfumo wa renki unaotoa fursa kwa wachezaji kujikusanyia pointi kwenye
orodha ya wachezaji wa tennis Tanzania. Hili limesaidia urahisi wa uchaguzi wa
timu na kuepuka lawama za kupendelewa watu flani. Kila mchezaji wa chini ya
umri 18 ana nafasi sawa ya kukusanya pointi kwa kushiriki mashindano
yanayoandaliwa na TTA au watu binafsi yaliyoidhinishwa na chama. Timu ya
Tanzania mwaka huu itawakilishwa na:
Boys
|
||||
Categories
|
Jina
|
TTA Rank
|
Points
|
Club
|
Under 12
|
Deogratus Felex Ernest
|
1
|
115
|
AICC
|
Yusuph Laurence Godwin
|
2
|
100
|
AICC
|
|
Kanuti Omary Alagwa
|
4
|
30
|
AGC
|
|
Under 14
|
Hassan Hamisi Yambi
|
1
|
125
|
AICC
|
Emmanuel Frank Temba
|
3
|
30
|
AGC
|
|
Ali Hamza
|
4
|
30
|
DGC
|
|
Adam Mwambungu
|
3(12&U)
|
80
|
KJ
|
|
Under 16
|
Frank Menard Mshana
|
1
|
105
|
AGC
|
Emmanuel Mallya
|
5
|
10
|
AGC
|
|
Omary Hamisi Sulle
|
4
|
10
|
AGC
|
|
Hassan Mkajira
|
|
2
|
KJ
|
|
Girls
|
||||
Categories
|
First Name
|
|
|
Club
|
Under 12
|
Ester Paulo Nankulange
|
1
|
140
|
AGC
|
Emiliana Katabalo
|
5
|
15
|
KJ
|
|
Maria Elisha Milanzi
|
4
|
25
|
AGC
|
|
Under 14
|
Emiliana Stanslaus
|
2
|
30
|
KJ
|
Shadya Maulid Kitenge
|
12
|
5
|
KJ
|
|
Jackline Kayuga
|
2(12&U)
|
75
|
KJ
|
|
Under 16
|
Adela Abraham Mollel
|
1
|
32
|
AGC
|
Georgina Kemmy Kaindoah
|
N/A
|
N/A
|
N/A
|
|
Round Robin
|
|
|
|
Kutokana na uhaba wa
wachezaji wa kike kwenye kundi la umri wa chini ya miaka 16, nafasi moja itapiganiwa na
wachezaji waliopo lakini hawajapata nafasi ya kushiriki mashindano ya ndani ili
kupata pointi kwa mtindo wa mtoano (round robin).
TTA inafanya juhudi
kuwataarifu wazazi wa watoto walioingia kwenye timu kwa ajili ya maandalizi. Timu
ya Tanzania itasimamiwa na kocha Nico Jonas ambaye ni msimamizi wa High Performance
Tennis (HPC) akishirikiana na Majuto Omari wote wakiwa ni makocha wa
level 2 kwa mujibu wa ITF.
Timu
inatazamiwa kuingia kambini tarehe 27-12-2015 ambapo watapewa mafunzo mbali mbali
pamoja na kufanya shindano la kujipima kabla ya mashindano yenyewe mwezi wa
kwanza.
TTA
itafanya mkutano rasmi na waandishi wa habari kabla ya kuanza kwa mashindano
mwezi
wa kwanza.
Kwa
niaba ya uongozi mzima, tunawatakia sikuu njema ya krismasi.
Katibu
Mkuu wa TTA.
MWISHO.
Kwa
maelezo ya ziada wasiliana na:
1.
Nico Jonas – Kocha
Mkuu - +255 754 250 097.
2.
Majuto Majaliwa –
Kocha Mkuu msaidizi – 0718 849 889.
3.
William Kallaghe
– Maswala yote ya mashindano - +255 754 210 437.
No comments:
Post a Comment