Mmoja wa Watumia Vinywaji (Vileo ) akiwa chakali |
Asemavyo
Mungu wa kweli kuhusu kinywaji cha kulevya: Ole wao waamkao asubuhi na
mapema wapate kufuata kileo;wakishinda sana hata usiku wa manane mpaka
mvinyo imewaka kama moto ndani yao. Isaya 5:11
Hali hii utokea wakati mwingi wa sikukuu ambapo watumiaji wa vinywaji vikali(Vileo) wanaposhindwa kujidhibiti hata kufikia hali ya kutojitambua, ambapo wakati mwingine yanawapata matatizo mbalimbali ikiwemo kubakwa kwa kina mama na kuibiwa kwa upande wa kina baba, lakini hata hivyo maandiko yanasema watu kutumia kidogo na si kufikia hali kama hii.
unatakiwa kulewa lakini usizidishe kiasi.
No comments:
Post a Comment