Wasanii
wa Hip hop katika anga ya muziki wa Bongofleva,Faridi Kubanda a.k.a Fid
Q pamoja na Stamina wakilishambulia jukwaa kwenye tamasha la wazi la
Tuo8January,hapo jana katika viwanja vya sabasaba mjini Morogoro.
Tuo8January ni kampeni maalum iliyozinduliwa hivi karibuni ikiwa na lengo la kuwahamasisha vijana kujitokeza kushiriki mchakato wa
uchaguzi wa viongozi mbalimbali wanaowataka na wanaowaamini wana uwezo
wa kuleta mabadiliko ya kinidhamu kwenye masuala ya msingi ya Taifa
letu.
uchaguzi wa viongozi mbalimbali wanaowataka na wanaowaamini wana uwezo
wa kuleta mabadiliko ya kinidhamu kwenye masuala ya msingi ya Taifa
letu.
Kama
vile haitoshi kampeni hiyo inatumika kuwahamasisha vijana wenye uwezo
na sifa za kugombea nafasi za uongozi kuchukua hatua sasa za kufanya
hivyo,pia kupata vijana wen,vijana wenye vigezo vya kupiga kura pia
ni lazima wafanye hivyo maana ni wajibu wetu na kuwa vijana ni lazima
tushiriki kikamilifu katika mchakato wa kampeni ili kuhakikisha mambo ya msingi yanajadiliwa na wagombea na yanapewa kipaumbele.
ni lazima wafanye hivyo maana ni wajibu wetu na kuwa vijana ni lazima
tushiriki kikamilifu katika mchakato wa kampeni ili kuhakikisha mambo ya msingi yanajadiliwa na wagombea na yanapewa kipaumbele.
Katika
tamasha hilo Fid Q aliwahamasisha vijana mbalimbali waliojitokeza
kwenye tamasha hilo,kuwa imefika wakati wa vijana kujitokeza kushiriki
mambo mbalimbali ya kimsingi kwa manufaa ya nchi yao na si kukaa chini
na kuanza kulalama,wakati kwenye mambo ya maamuzi wakishirikishwa
hawataki kujitokeza,hivyo ni wakati wao wa kuamka na kuchagua kiongozi
kijana wa kisasa na si kiongozi wa kisiasa.
Msanii
mwingine wa hip hop katika anga ya Bongofleva,ambaye amekuwa akifanya
vyema kwenye muziki huo,Niki wa Pili akitumbuiza katika jukwaa la wazi
la Tuo8Januari lililofanyika mjini Morogoro hapo jana.
Baadhi
ya wakazi wa mji wa Morogoro wakishangilia yaliyokuwa yakijiri kwenye
tamasha la Tuo8January,lililofanyika jana kwenye viwanja vya sabasaba
mjini humo,tamasha hilo la wazi ambalo limewashirikisha wasanii
mbalimbali,ni kampeni maalum ya kuwahamasisha vijana kushiriki katika
chaguzi mbalimbali kwa njia ya matamasha.

Kampeni hiyo ilizinduliwa jijini Dar hivi karibuni
na kufanyika tamasha la kwanza mkoani Njombe na sasa Mkoani
Morogoro.Baadhi ya Wasanii mbalimbali wenye ushawishi mkubwa kwa vijana
wameonesha kuiunga mkono kampeni hiyo,akiwemo Babu Tale, Mwana FA, Nick wa Pili, Lamar, P-Funk, Mwasiti, Barnaba, Ditto,G-nako,Fid Q,Shilole,Yamoto Band,Stamina na wengineo.

Baadhi ya Wadau wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye jukwaa la Tuon8January katika viwanja vya sabasaba mjini Morogoro.
Msanii
wa muziki wa kizazi kipya aitwaye Linah akiimba wimbo wake wa
OleThemba,mbele ya mashabiki wake (hawap pichani),waliojitokeza kwa
wingi kwenye tamasha la Tuo8January,lililofanyika kwenye viwanja vya
sabasaba jana jioni mjini Morogoro.
Ilikuwa ni shangwe tu kutoka kwa mashabiki wa muziki wa kizazi kipya kupitia tamasha la Tuo8January
Mmoja
wa wasanii mahiri wa Hip hop,ambaye amekuwa akifanya vyema katika anga
ya muziki wa kizazi kipya,aitwaye Stamina akitumbuiza mbele ya umati wa
wakazi wa mji wa Morogoro katika tamasha la Tuo8January,lenye lengo la
kuwahamasisha vijana kujitokeza kushiriki mchakato wa uchaguzi wa
viongozi mbalimbali wanaowataka na wanaowaamini wana uwezo wa kuleta
mabadiliko ya kinidhamu kwenye masuala ya msingi ya Taifa letu.

Sehemu
ya umati wa watu waliojitokeza kwenye tamasha hilo la la
Tuo8January,lenye lengo la kuwahamasisha vijana kujitokeza kushiriki
mchakato wa uchaguzi wa
viongozi mbalimbali wanaowataka na wanaowaamini wana uwezo wa kuleta mabadiliko ya
kinidhamu kwenye masuala ya msingi ya Taifa letu.
viongozi mbalimbali wanaowataka na wanaowaamini wana uwezo wa kuleta mabadiliko ya
kinidhamu kwenye masuala ya msingi ya Taifa letu.
Baadhi
ya mashabiki wa muziki wa kizazi kipya wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri
katika jukwaa la tamasha la Tuo8January,lililofanyika jana katika
viwanja vya Sabasaba,mjini Morogoro.
Pichani
kulia ni Msanii Mwasiti akiimba wimbo wake wa serebuka akiungwa mkono
na shabiki wake kwa kunogesha zaidi jukwaa,huku shangwe za mayowe na
vifijo zikiwa zimetawala kutoka kwa mashabiki waliofika katika tamasha
la Tuo8January hapo jana.
Pichani
kati ni msanii Shilole akiwa sambambana madansa wake wakilishambulia
jukwaa kwa pamoja mbele ya umati wa wakazi wa mji wa
morogoro,waliojitokeza kwenye tamasha la Tuo8Januari,lililofanyika hapo
jana katika viwanja vya sabasaba mkoani humo.
watazajamaji
wakifuatilia kwa umakini yaliyokuwa yakijiri katika jukwaa la
Tuo8January hapo jana katika uwanja wa sabasaba mjini Morogoro.
Mkali
mwingine wa kufloo freestyle,Godzilla akipanda katika jukwaa la tamasha
la Tuo8January,tayari kwa kuwaburudisha wakazi wa mji wa Morogoro
waliojitokeza kwa wingi katika tamasha hilo.
No comments:
Post a Comment