Serikali
ya Sierra Leone imetangaza siku tatu za marufuku kaskazini mwa taifa
hilo, ili kuruhusu jitihada za kukabiliana na kuenea zaidi kwa ugonjwa
hatari wa Ebola.
Msemaji wa serikali amesema kuwa maduka na masoko
yatafungwa na hakuna magari ya abiria au pikipiki zitakubaliwa kwenye
barabara za eneo hilo.
Sherehe za makanisa kuadhimisha sherehe za siku ya Krismasi pia zimepigwa marufuku.
Sierra Leone ni mojawapo ya mataifa ya Afrika magharibi ambayo yalikumbwa pakubwa na ugonjwa huo wa ebola.
No comments:
Post a Comment