Korea kaskazini imeilaumu Marekani kutokana na mataizo ya mtandao ambayo yameikumba siku chache zilizopita.
Tume
ya taifa ya ulinzi nchini Korea Kaskazini inasema kuwa Marekani
inavuruga mifumo ya mitandao ya nchi hiyo huku ikimfananishi rais wa
marekani Barack obama na tumbili wa misitu ya tropiki mbali na
kumshutumu kwa kuhusika katika kuonyeshwa ka filamu yenye utata
inayojulikana kama The Interview.Korea kaskazini imekana kuhusika kwenye uhalifu wa mtandao dhidi ya kampuni ya Sony uliosababisha kampuni hiyo kusitisha maonyesho ya filamu hiyo.
No comments:
Post a Comment