Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na baadhi ya wafanyabiashara wa Qatar
wanaokusudia kuwekeza Tanzania katika mkutano uliopfanyika kwenye
hoteli ya Sheraton mjini Doha Desemba 22, 2014. Alikuwa katika ziara ya
kaikazi nchini humo. (Picha na Ifisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment