Viongozi
wa Michezo wa Riadha katika Wilaya kumi za Unguja na Pemba
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipokuwa akizungumza nao
leo katika hafla maalum ya kukabidhi vifaa vya riadha iliyofanyika
ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
No comments:
Post a Comment