
Kamanda wa kikosi cha usalama barabarani DCP MOHAMED MPINGA amesema wakati wa sikukuu ni miongoni mwa vipindi ambavyo huwa na matukio mengi ya ajali za barabarani.
Amesema katika kupunguza idadi ya vifo barabarani kamanda huyo amehaidi kuongeza usimamizi ili kudhibiti madereva wasiozingatia sheria za usalama barabarani.
No comments:
Post a Comment