Miili
15 ya raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ambao walifariki
katika ajali ya meli kwenye Mkoa wa Kalemie nchini humo ilipatikana
Kigoma na mazishi yamefanyika ambapo kwa upande wa Serikali Congo
kulikuwa na muwakilishi ambaye ni Balozi mdogo Congo, Riki Molema.
Hizi ni baadhi ya picha wakati wa mazishi ya watu hao.
Naibu Balozi Mdogo wa
ubalozi wa DRC mkoani Kigoma Riki Molema alipozungumza na wananchi wa
kijiji cha kalilani wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma wakati wa mazishi ya
watu hao, alisema imesikitisha sana kutokana na kupotea kwa watu hao baada ya ajali hiyo kutokea.
Mwenyekiti wa kijiji cha Kalilani, Songoro Saidi akiweka mchanga akiweka mchanga kwenye kaburi la raia wa 15 Congo waliozikwa Kigoma.
Balozi mdogo wa ubalozi wa DRC, Riki Molema akiweka mchanga kwenye kaburi hilo.
No comments:
Post a Comment