Waziri
wa habari Vijana Utamaduni na Michezo Dr. Fennella Mukangara ameteua
baraza jipya la michezo Tanzania (BMT) ambalo litakuwa likisimamia
shughuli zote za kimichezo.
Mukangara amemteua Dioniz Malinzi kuwa
mwenyekiti wa baraza la michezo la Taifa, kwa upande wa wajumbe
amewateua tena Jamal Rwambow,Alex Mgongolwa ,Jeniifer mmasi Shanga na
Zainab Mbiro .
Wajumbe wapya Zacharia Hans Pope,Mohamad
Bawaziri,Zainab Vullu mbunge wa viti maalum,Adam Mayingu mkurugenzi wa
PSPF ,Cresscntius Magori na John Ndumbaro.
No comments:
Post a Comment